ngumbuke
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 495
- 527
Salamu kwa kwa wana JF wa jukwaa la historia. Napenda kujua historia ya mji huu ulioko mpakani mwa nchi ya Malawi katika mkoa wa Mbeya ambao ni maarufu sana kwa kilimo cha mpunga na kakao. Jina hilo lina maana gani? kuna mtu mashuhuri sana alifahamika kwa jina la Mwakilembe, je ana uhusiano gani na mji wa Kyela au Wanyakyusa? Ukoo wa Korosso je?