Anayejua jina la huu wimbo anijuze

Anayejua jina la huu wimbo anijuze

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,904
Reaction score
4,902
Wanabodi,

Nisipoteze muda, anaejua lyrics za huu wimbo ntakazobahatisha kuziandika hapa naomba anitajie jina la wimbo...nautafuta sana niupakue.

"Mpenzi wangu Rhodes
"Kama ni makosaa, oa mwingine mimi siwezi
"Kama ni watoto fika kwetu posta,utawaona ytawaona"
"Usilete tabu kwa mpenzi wangu wa sasa
"Tulipendana na wewe bila kuleta kitu kwetu...

Ni wimbo wa dance.

Tirikeni wadau....
 
Back
Top Bottom