Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

Anayejua jinsi ya kulipia bima ya afya NHIF kupitia huduma ya TIGOPESA

Johnny Sins

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
2,537
Reaction score
3,873
Habarini jamani,

Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
 
Habarini jamani,

Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
Mpaka uwe umepewa control number kisha unaingia tigo pesa menu; lipa kwa Kwa tigo pesa; lipa bill alaf malipo ya serikali kisha kumbukumbu namba ndipo unaweka control number alaf kiasi; kisha msimbo
 
Mimi nililipiwa na mwajiri wangu aliyepitq na nilishaacha kazi huko hivyo kwa sasa sijui kama hii kadi iko valid or not.
Pay slips zako za mwanzo mwanzo za mwajiri wako wa awali zinaonyesha lini ilianza kukatwa michango yako ya NHiF
 
Habarini jamani,

Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivu😬
Download Tigo pesa App. Chagua Malipo ya serikali. Weka control number. Lipa.
 
Back
Top Bottom