Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,537
- 3,873
Tarehe, siku na Mwezi uliolipia. Mwaka ujao ina expireHivi nitajuaje kama bima ina expire siku flani?
Mpaka uwe umepewa control number kisha unaingia tigo pesa menu; lipa kwa Kwa tigo pesa; lipa bill alaf malipo ya serikali kisha kumbukumbu namba ndipo unaweka control number alaf kiasi; kisha msimboHabarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivuš¬
Mimi nililipiwa na mwajiri wangu aliyepitq na nilishaacha kazi huko hivyo kwa sasa sijui kama hii kadi iko valid or not.Tarehe, siku na Mwezi uliolipia. Mwaka ujao ina expire
Pay slips zako za mwanzo mwanzo za mwajiri wako wa awali zinaonyesha lini ilianza kukatwa michango yako ya NHiFMimi nililipiwa na mwajiri wangu aliyepitq na nilishaacha kazi huko hivyo kwa sasa sijui kama hii kadi iko valid or not.
Mwaka juzi mwezi wa 6.Pay slips zako za mwanzo mwanzo za mwajiri wako wa awali zinaonyesha lini ilianza kukatwa michango yako ya NHiF
Download Tigo pesa App. Chagua Malipo ya serikali. Weka control number. Lipa.Habarini jamani,
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kulipia huduma ya NHIF kupitia TIGOPESA naomba maelezo, maana nilisahau kuwalipia madogo, kwenda ofisini kwao uvivuš¬