Mwenzangu naona ww ulipo unaupata usingizi ila kama ni mfanya biashara subiri akaunti yako iangaliwe kama umewahi wapa mchango wowoteNi haki yako kuishi sehemu yeyote unayohisi ni salama kwako.
Kila la kheri.!
Duh.Tupo nchini kwetu tumeiba cha nani, nchi ni ya kila mtu na kila mtu ana haki ya kuishi, kwanini tunafuatiliwa kimya kimya na kupewa kesi ambazo hatuna na hatuja wahi kuzifanya, wanataka watuue wote tuishe?
Naomba kwa anayejua jinsi ya kupata hifadhi (asylum)na kufika atusaidie kama ni mwanasheria wa nchi jirani atuunganishie, hali ya kukamata na kupewa kesi ni tete sana haya hatuyawezi hatuja yazoea. tusaidieni. Huyo mwanasheria asiwe mtego wa kutukamata
Weweeee huwajui watu walivyo wanafiki? Ni hao hao ndiyo waliopiga kura.Hivi wale watu million 12.5 waliompa kura ni akina nani mbona kila mtu analalamika
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Wewe unataka kukimbia uende wapi? Utuache peke yetu huku. Hakuna kwenda kokote, kama joto ya jiwe tuipate sote!
Asante studio,mwingine mwenye nondo nzito[emoji375]Hilo haliitaji mwanasheria wewe omba visa Nchi unayotaka kwenda nenda ukifika huko ndio wanaita vijana kujilipua yaani unaomba hiyo asylum ukiwa huko unaachana na mambo ya kugonga passport wakongo,warundi,wapemba,wanyarwanda wengi wanaishi kwa kutumia asylum hata Watanzania pia Mimi mwenyewe nishawahi kutumia asylum kwa sababu ukiwa na asylum unaruhusiwa kufanya kazi au biashara wana passport yao pia ila wana sheria Nchi ya Kwanza kufika ndio hiyo hiyo unatakiwa upate hiyo asylum sasa hicho kigezo ukikivunja ndio unatumia wanasheria kupata Visa...
Gharama za kuomba Visa zikoje mkuu.?Hilo haliitaji mwanasheria wewe omba visa Nchi unayotaka kwenda nenda ukifika huko ndio wanaita vijana kujilipua yaani unaomba hiyo asylum ukiwa huko unaachana na mambo ya kugonga passport wakongo,warundi,wapemba,wanyarwanda wengi wanaishi kwa kutumia asylum hata Watanzania pia Mimi mwenyewe nishawahi kutumia asylum kwa sababu ukiwa na asylum unaruhusiwa kufanya kazi au biashara wana passport yao pia ila wana sheria Nchi ya Kwanza kufika ndio hiyo hiyo unatakiwa upate hiyo asylum sasa hicho kigezo ukikivunja ndio unatumia wanasheria kupata Visa...