Anayejua kisa cha Lissa na Rapcha anipe short story, yaani mpaka sasa sijui nini kinaendelea pamoja na kuwa member wa UWABATA

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari wakulungwa?

Nakuta tu huko fb kumepamba moto, mara Raptcha afukuzwe na mawe, mara aokolewe mara alaumiwe.
Please help me to understand what's going on?

Asanteni .

--------

Jibu:

 
Ni mwanfunzi wa UDSM sasa boom lilipotoka, demu wake anaitwa lisa akamuomba hela laki tano alipe ada, asije kukosa kufanya mtihani, kumbe demu kapewa ile hela naye kahonga kwa bwanake mwingine, Rapcha si ndio kumpigia simu Lisa hapokei, kampandia gari kwenda kwake, kuingia ndani kakuta njemba kakamatia demu ake , halafu Rapcha alivofala kaanza kuhesabu uno jamaa analokata, jamaa kapiga TAKO NANE si ndo akamwaga ndani, wewe kuja kugeuka wanakutana face 2 face na Rapcha aisee kilichofuata ilibidi ipigwe yowe ya mwizi achomwe moto rapcha, bila kutokea Zola D aka moto wa tipa tungeshazika Rapcha.
 
Rapcha masikini alichungulia kaburi.
Utelezi noma
 
Duuuuh kumbe ndo ilivyo? Mweeeeeh.
 

Wanafunzi waliuawa sana kwa kuitwa wezi walipowafumania mademu zao.

Zola D naye anasoma UDSM?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…