Anayejua kuhusu vifungashio vya bidhaa naomba anijuze

Anayejua kuhusu vifungashio vya bidhaa naomba anijuze

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
246
Vifungashio vya plastic vimekatazazwa.

Sasa wakuu, niko na plan ya kuanzisha biashara ya kuuza dagaa mchele. Nilitaka niwahifadhi kwenye kifungashio ambacho kitakuwa cheupe Cha kuweza kuonyesha kilichomo ndani. Kiwe Cha kuweza kubeba uzito wa dagaa mchele robo au nusu tu.

Viwe vya plastick au vya nailon. Na si ndo vimepigwa marufuku?. Nini nifanye wakuu. Nitumie nini?. Naomba muongozo wakuu
 
Back
Top Bottom