Anayejua kutengeneza sausage

Anayejua kutengeneza sausage

Rukia

New Member
Joined
Apr 23, 2010
Posts
4
Reaction score
0
Hello,

Anayejua materials za utengenezaji wa sausage zinapopatikana naomba unielekeze.
 
Hello anejua materials za utengenezaji wa sausage zinapopatikana naomba unielekeze....
 
Mkuu nilikua nasoma how to make sausage at home ili kupunguza cost na ndio nikaona huu uzi
 
Ambaye anajua atuelekeze, nataka kujua na vifaa vinavyohitajika
 
Tumia Google na YouTube na itakupa best way for making sausage

Vipi kuhusu vifaa vinavyohitajika ? na vinauzwa wapi mkuu ? maana google na youtube mpishi unakuta kashanunua mashine zake kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
vipi kuhusu vifaa vinavyohitajika ? na vinauzwa wapi mkuu ? maana google na youtube mpishi unakuta kashanunua mashine zake kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Andika pahali kwa notebook vile vifaa umeviona vikitumika kwa yale mapishi ya sausage hapo YouTube, then utaviulizia pahali utavinunua mjini au hapo ulipo. Vifaa vya upishi huwezi kosa ukitafuta kwa hayo maduka ya kuuza vifaa vya matumizi ya nyumbani.
✌️
 
vipi kuhusu vifaa vinavyohitajika ? na vinauzwa wapi mkuu ? maana google na youtube mpishi unakuta kashanunua mashine zake kabisa


Sent from my iPhone using JamiiForums
Meat grinder ndo hiyo hiyo nunua yenye kazi mbili, kusagia nyama na Kuna kifaa cha kujazia sausage, Kuna ya umeme na manual.
 
Back
Top Bottom