Anayejua laptops vizuri anielekeze hili

Linux iko fresh? Na inawekwaje?
 
Unataka kuninyima ela nini eti shem๐Ÿคฃ sikia mi kwenye cv nimejaza nina strong computer skills kwenye microsoft office, nakuhakikishia zaidi ya Ms word sina nnachoelewa๐Ÿ˜ข
Aaah naona umechukia kuitwa shem mpaka kuamua kuninyima namna ya kuactivate window ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ
 
Linux iko fresh? Na inawekwaje?
1. elementary OS ยท
2. ubuntu
3. deepin Linux ยท
4. Linux Mint ยท
5. Zorin OS.

Kama huna utaalamu sana nakushauri utumie ubuntu.

Hizo zote zinakuja na fuu package, kuanzia offices, drivers, players, browsers, internet drivers and tools, developer tools, built in vpn, app store, na inakua na systm ya kukuruhusu kutumia app yoyote ya windows. Plus kila kitu ni bure, hulipii hata shng kumi. japo wana option ya kuamua kufanya donations.

Ilianzishwa na hacker na ndo tool kubwa kwa hackers.

Serching engine yao ni duckduck go.
 
Kama unauzoefu kiasi wa namna ya kuoperate pc na ku driver programs basi nenda kwenye Linux Minti moja kwa moja.. Utakuja kunishukuru siku nikifa
 
Mchina nae anaomba msaada wa masuala ya compyuta. Si maajabu haya jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ