Karabhahii
New Member
- Jul 20, 2022
- 4
- 0
JF Naomba kuuliza. Waziri Mstaafu Mizengo Pinda ana watoto wa4.
Naombeni sana mnisaidie majina yao. Watu wanapigwa huku mtaani. Kwenye biography mitandaoni wanaandika tu 4 children ila hakuna majina yao. Anejua please. Asanteni