Anayejua majina ya watoto wa Mizengo Pinda

Karabhahii

New Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
4
Reaction score
0
JF Naomba kuuliza. Waziri Mstaafu Mizengo Pinda ana watoto wa4.

Naombeni sana mnisaidie majina yao. Watu wanapigwa huku mtaani. Kwenye biography mitandaoni wanaandika tu 4 children ila hakuna majina yao. Anejua please. Asanteni
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ muulize karani wa sensa ๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜Ž
 
Manara,mpili,mandonga na kaoneka. Majina hayo
 
JF Naomba kuuliza. Waziri Mstaafu Mizengo Pinda ana watoto wa4.

Naombeni sana mnisaidie majina yao. Watu wanapigwa huku mtaani. Kwenye biography mitandaoni wanaandika tu 4 children ila hakuna majina yao. Anejua please. Asanteni
Unahis umetongozwa na mmoja wao nn.. vinaja achen kupenda kitonga
 
Unahis umetongozwa na mmoja wao nn.. vinaja achen kupenda kitonga
Akili yako fupi ndo imeishia hapo kufikiria๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚vijana wa ovyo sana unawaza mapenzi tu hasara kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ