bintishomvi
JF-Expert Member
- Mar 21, 2015
- 1,164
- 833
Nataka kupeleka material ya pp na pet Naona wachina wanaitana tu na kujazana kwetu wakati nasi tunaweza kufanya na tuna uzoefu wa kutosha kupata malighafi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pp co ishu mkuu labda hiyo pet japo nayo soko lake limeshuka sana baada ya mafuta kushuka bei!pp una tan ngapi mkuu???
Vipi mkuu mbona kimya unijibu?
Pp na pet ndo vitu gani ?