Nataka kupeleka material ya pp na pet Naona wachina wanaitana tu na kujazana kwetu wakati nasi tunaweza kufanya na tuna uzoefu wa kutosha kupata malighafi.
Naandaa eneo la kusagia nakamilisha mwezi ujao machine na kila kitu nimesha andaa na pakupata malighafi najua pakuyapata ndani ya dar na nje ya dar ila nafanya research kujua bei na masoko mkuu
Ni material yanayo tokana na aina ya prastic kwa mfano machupa ya maji ya kunywa yanaitwa pet na plastic aina ya mabeseni vikombe vya plastic nk. Kuna ainanyingi hapo mfano pp ,blow nk ukitakakujua zaidi angalia nyuma ya aina yoyote ya plastic wameandika kwa kifupi. Ndivyo hivyo ninavyojua ila zipo aina nyingi ambazo nitazijua zaidi nitakapo anza kazi.