Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Miezi kadhaa imepita rafiki anasumbuliwa na huu ugonjwa. Umempata uneo dogo juu ya unyayo. Mwanzoni Dr alidhani ni fungus, lakini baada ya kutumia dawa za fungus muda mrefu bila mafanikio akapimwa na kubaini ni psoriasis.
Akaanza matibabu lakini bado hakuna mabadiliko sana. Ila hapaongezeke wala hapapungui . Anayejua tiba nzuri tunaomba msaada
Akaanza matibabu lakini bado hakuna mabadiliko sana. Ila hapaongezeke wala hapapungui . Anayejua tiba nzuri tunaomba msaada