Anayejua matibabu ya ugonjwa wa ngozi Psoriasis

Jongwe

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2008
Posts
1,040
Reaction score
662
Miezi kadhaa imepita rafiki anasumbuliwa na huu ugonjwa. Umempata uneo dogo juu ya unyayo. Mwanzoni Dr alidhani ni fungus, lakini baada ya kutumia dawa za fungus muda mrefu bila mafanikio akapimwa na kubaini ni psoriasis.

Akaanza matibabu lakini bado hakuna mabadiliko sana. Ila hapaongezeke wala hapapungui . Anayejua tiba nzuri tunaomba msaada
 
Picha mkuu watu wagoogle wajifanye madr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…