Anayejua namna ya kununua views jf

Anayejua namna ya kununua views jf

Duuuh pole sana...Fanya ubunifu mzuri ili uweze kutatua tatizo lako

BTW unalipa sh ngap kwa view 1
 
Views sioni kama ni Big deal...labda kama ungeomba like katika Nyuzi (threads) zako, nimekupa like hapo...!!

Hiko ndicho kitu kinachoweza kukupa Mzuka/hamu ya kuanzisha Nyuzi nyingine..!!

Pole sana....kwa niaba ya Jose...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mfate Baba Dully
 
mtafute mshana Jr akupe ma-ujanja
 
Pole..mbona thread zako view zinatosha. Ukitaka zaidi lazima utumie muda mwingi zaidi JF..ili uwe maarufu..Ina gharama zake.
 
Jf kuna watu wa ajabu kweli wapo wanaolilia "like" na huyu analilia "views"[emoji23] [emoji23] [emoji111]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Naombeni kujua namna ya kununua views jf maana threads zangu zimekuwa zikipata views wachache comments kiduchu hadi nimekata tamaa ya kuanzisha thread

Nime ku pm nambari yangu ya m pesa, tuma kwanza pesa kisha nikueleze namana ya kufanya
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tatizo laweza kuwa aina ya mada uanzishazo.
 
Ukame wa viewers haujawahi kumuacha Tajirimsomi salama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa yaani. Ila ana haki ya kulalamika kwa kweli maana nyuzi zake hazipewi ushirikiano.
 
Back
Top Bottom