Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Anawajibika kwa Daudi Albert Bashite tu.Maana ndio mchapa kazi pekee Tz
 
Mi nashauri kwanza jikumbushe 2015 ulimpigia kura nani ?
 
Maana waliompigia kura hawalalamiki wanaolalamika ni ambao hawakumpigia kura
 
Hali ngumu kweli leo kwenye biashara yangu nimepata 200/= (Two hundred only) [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Two Hundred, How much?
Naira, Yen, Krona or Kwacha?

Taja kabila la Ulichoingiza tukupigie makofi.
 
hello ndugu,

nchi hii ya tanzania mbona ubabe na ukabira ndio unao chukuwa nafasi!

inamaana Raisi anabariki uovu? kila mtu anajua kuwa Daudi Bashite amefoji vyeti, lakini anakumbatiwa na Raisi! Hapa pana nini hapa?

kuwachafulia watu biashara zao, na watu wanao waongoza! tunako elekea! hata chama cha CCM kitakuwa na wanachama wanafiki.

Raisi sijui kama anaona implication za haya mambo anayo yafanya!

hebu tucheki next season tuone inakuwaje!
 
Hata mimi naona ka kuna vitukovituko tu sijaona progress ya Tanzania.....................
 
Wazee tajwa hapo Juu,

Kama mnasoma basi tunawaombeni mkaongee na Rais wetu haraka sana maana anapotupeleka sio pazuri kabisa. Watanzania hatumwamini Rais wetu tena, kila yule ambae anasimama kwenye haki anachotwa mtama. Tanzania ni ya sisi sote, sio ya wale ambao wanaruhusiwa kuingia Ikulu. Madikteta wote wanaanza hivyo hivyo, kila upinzani inazidi basi hasira zao pia zinazidi na wanaendelewa kutumia madaraka yao vibaya, mpaka utu ndani ya roho inakwisha.

PLEASE SAVE THIS COUNTRY BY SPEAKING TO Magufuli
Naona wale karibu nae aidha wanamwoogopa au wana maslahi yao ya kibinafsi! Tafadhalini Wazee, hatutaki vita, vita ni kitu kibaya sana, ila sasa kama haki itaanza kunyimwa basi ni fitra ya binaadamu kubeba silaha.
 
Mkapa, Mwinyi, Kikwete and CCM MPs you will be answerable! You are the cause of all these sufferings
 
Acheni ujinga bakheresa ni nani katika nchi hii,bakheresa amekwepa kulipa kodi kiasi gani,bakheresa ameitia hasara nchi hii ni nani
 
Hao uliowataja watafanya nini mkuu?????au unawatafutia matatizo???
 
We ndo mbwa!!!! povu linakutoka kwa kutetea ubashite wa mkulu unayofanya unaona haki!! et mtanyoka kama anakunyosha wewe na yule mwenzio sawa!!! Ila sio sie!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…