Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
ndio maana hapa nilipo mi napiga mkuu, asubuhi hii penyewe nishaingiza milioni nne kwa ujanja ujanja
 
In short hata hawa wapiga makofi wa JF wanaojifanya eti Wazalendo kimsingi sio kwamba Wazalendo!!

Kwavile wana uhaba wa maarifa wanadhani uzalendo ni kuunga mkono kila anachosema au kufanya rais wakati uzalendo ni inner most positive feelings towards your country!!!!!

Hawa wanaojifanya Wazalendo sio kwamba Wazalendo kwa nchi yao bali ni "wazalendo" kwa chama chao kitu ambacho hakipo!!!!

Wala hawafahamu kwamba kupinga kinachofanywa na rais kama unadhani kitaitumbukiza nchi matatani ni moja ya uzalendo!!!
 
umeona eeeee
 
JAMAA kauza na kugawa nyumba za serikali hadi kwa mahawara. Meli na kivuko kapiga panga.

Lenyewe likishashindilia na kubughia miugali yake ya bure huko Ikulu nakuvimbiwa linatoka nje nakubwabwaja eti tuwe wazalendo.

Sisi tunaomjua vizuri alikuwa anawafuata hadi ofisini makandarasi apewe 10% yake tena kwa kufosi. Yote hayo sawa tukapotezea lakini BILA AIBU JAMAA KWA UBABE LINAIBA RAMBIRAMBI bila aibu. HALAFU LINA HUBIRI WATU WAWE WAZALENDO.
 
Ndiyo maana huwa naona kuwa mzalendo tanzania ni upumbafu na ujinga.
Mataputapu anakula na kun.ya na familia yake lini atakuwa na uchungu na watu wake? Utasikia msema kweli ni mpenzi wa Mungu teh teh teh madikiteta wote waliingia madarakani km watu wema ila baada ya kujihakikishia ndiyo maovu yao hujionesha kweupe. Ngoja waje wa Lumumba wanavyokata kiuno
 
Unamaanisha Tz ni kama tembo aliyeanguka kila mtu ajikatie nyama tu ...lol
Ccm imetufikisha pabaya sana
 
Neno Uzalendo lipo kwa ajili ya kupumbaza wajinga,Uzalendo aliondoka nao Mwalimu Nyerere. Sasa hivi ukipata chance piga vizuri sana,nawasifu sana wakina Chenge,Mkapa,JK,Rugemalila,Lowasa,Manji hao ndio wanajua kutumia fursa vizuri.
 
Mkuu hebu vuta pumzi kubwa na uishushe taratiiiibu! Vanya zoezi hilo mara tatu angalau kwa siku, vinginevyo utaugua "depression" wakati ndio kwanza tupo Msata.
 
Linani hilo jameni?
 
Neno Uzalendo lipo kwa ajili ya kupumbaza wajinga,Uzalendo aliondoka nao Mwalimu Nyerere. Sasa hivi ukipata chance piga vizuri sana,nawasifu sana wakina Chenge,Mkapa,JK,Rugemalila,Lowasa,Manji hao ndio wanajua kutumia fursa vizuri.

kweli aise
 
Mzalendo alikuwa nyerere tu hawa wa sasa hakuna kitu

Ova
 
Akichangia katika mada Moja iliyokwenda kwa kichwa kinachosema "Anayejuwa Rais Magu Antupeleka wapi atuambie................"
Nyani Ngabu alisema
Binafsi nadhani ana nia nzuri.

Lakini sidhani anajua anakoelekea.....

Yupo yupo tu

kwa maoni yake hata Mimi naona ana nia nzuri lakini hajui anakoelekea yupoyupo na anarukaruka tu
 
Ccm watanzania wanataka siasa suala la mapenzi in la MTU binafsi.Ccm msipoteze muda mwingi kushughulikia masuala ya MTU binafsi , watanzania wanahitaji Huduma za Maji , hospital, Ekimu n.k.Ccm nchi mmeiingiza kwenye mikataba ya kifisadi mpaka Rais Magufuli anahangaika badala ya kumsaidia mnahangaika Na maisha binafsi ya MTU.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…