mie wameniacha hoi hata hao wapinzani kutembelea majimbo yao napo kosa, hawataki, sasa sisi wananchi tumewachagua wao wameteuliwa na mtu 1, tunataka tupeleke kilio chetu kwa wabunge wetu tuliowachagua na sio walioteuliwa ili waweze kufikisha malalamiko yetu mbele, napo hawataki, mie naona wanahisi wananchi tumelala, tupo macho tunajua kila kitu kinachoendeleaUkiona Baba akiulizwa swali anakuwa mkali ujue hana jibu,
Hajui akujibu nini,
Hajui anakifanya kitamfukisha wapi,
Amepoteza mwelekeo anatafuta pa kutokea.
CCM sasa hivi Polisi ndio kimbilio lao,
Mwananchi akihoji kitu Jela,
Mwaandishi wa Habari akiandika kitu kuhusu Serikali Jela,
Vyama vya Siasa haviruhusiwi kufanya Siasa, Vikifanya Jela,
Na tena hii ni mbaya maana CCM wao kila siku wanafanya mikutano ya Kisiasa kupia Raisi, wakuu wa mikoa, Wakuu wa Wilaya, kiujumla CCM inafanya Siasa pekeyake kwa kutumia nguvu.
Ukiishiwa Sera ndio nguvu hutumika, CCM nguvu huwa zinazidiana kuweni makini.
Unaishi kwa nadharia sana we pambana na hali yakoMambo hawayawezi wanayang'ang'ania wangemwachia Lowasee tu tucheke watz
Mtoa Mada hii nimeipenda maana umeelezea jinsi mambo yanayotokea ndani ya nchi yetu,na hii ni hatari mno for the next generations,hawa wanasiasa wetu kwa uelewa wao au lau wanatutengenezea kizazi cha watu watakaokuwa na hasira na watakaoamini kuwa ufumbuzi wa kila kitu ni kutumia nguvu,vitisho;mama au baba unatakiwa uilee familia yako kwa upendo,show to your childrens how u love them,how to respect,na mwishowe tutapata taifa lenye upendo.few kms beyond our borders haya yanatokea because walilelewa na kuwa treated hivyo kuwa to sort out the problems its only violences;angalia maandamano yao,tumeshuhudia watu wakichomwa moto alive reason behind sio wazawa wa nchi hiyo;kumbuka our father of the national alihubiri upendo ,na upendo huo tukawa nao ndio maana wageni wetu tuliwaheshimu mno na kuishi nao vizuri;kitendo alichokifanya LILIAN DUBE,ukikifanya kwenye nchi aliyotoka uatakuwa umeshajihukumu death penalty.please my leaders tujenge nchi yenye upendo na kuthamini utu na haki za binadamu.
NDIOMtoto wako nae ni mlipa kodi
jamaa hawezi kukusikia kwani anashindilia na kubughia ugali wa bure . Shibe ina nyodo nyinyiMlio karibu na Rais Magufuli mwambieni serikali yake imeajiri watu wasiozidi laki tano (500,000) kati ya walipa kodi milioni 50 (50,000,000). Sawa na mtu mmoja kati ya mia moja.
Awe na heshima kwa sekta binafsi.