Nimesikitishwa sana na zaidi ya watu 2000 kupoteza ajira katika mgodi wa Bulyahkulu.
Je kuna mtu mwenye mapenzi mema na hii nchi anaweza kulishangilia hili?
Je serikali hii ni ya wanyonge kama inavyosemekana, huku ikishuhudia maelfu ya watu wanapoteza ajira bila kuchukua hatua zozote huku ikishangilia mwekezaji akifunga biashara ya matrilioni?
Kwa wanaofaham na waliobahatika kufika Bulyahkulu hasa hasa mwenye uchimbaji chini ya ardhi atakubaliana na mimi kuwa kule ni chuoni, kwani watanzania wengi waliobahatika kufanya kazi pale wamepata ujuzi na kuweza kupata kazi nje ya nchi ....
Je familia na biashara zilizokuwa zinategemea hawa wafanyakazi , ni watu watakuwa wamekosa matibabu, elimu, chakula, kipato n.k ?
Haya yote na madhara mengine ni matokeo ya ripoti ya Pro. Mruma ambayo ina takwimu ambazo watu wanaojua mining sector zinatia shaka.
Tunatakiwa kuwa makini na hizi ripoti na kujiridhisha kabla ya kuchukua maamuzi, kwa watakaothirika ni watanzania wanyonge na sio mwingine.