Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Status
Not open for further replies.
Anatupeleka huku:-
(i). Nchi yenye uchumi wa kati kama siyo juu,
(ii). Nchi yenye MAPINDUZI makubwa katika sekta ya viwanda
(iii). Nchi yenye kupambana na ufisadi wa kila aina na rangi
(iv). Nchi yenye watumishi wa umma waadilifu na wazalendo

Nk nk nk
 
ucijali aliyekutuma kakuona unatimiza alichokutuma subiria uteuzi tu sasa!
 
hongera tumeiona kijani kwenye shati yako na aliyekutuma pia kakuona subiria uteuzi
 
Serikali iliyoongoza kwa kuishiwa pumzi ndani ya miezi 24 unusu,sasa hivi badala kupambana kujenga viwanda wamegeukia kwa mitandao ya kijamii....SHAME.....
 
Anatupeleka kwenye uchumi wa kati Huduma ya maji toka mita 4 hadi mita 3 Umeme kwa asilimia 95 vijijini Huduma ya toka km 2 hadi mita 500 Huduma za usafiri na usafirshaji kwa %97 elimu bule kwa %100
 
Wasaalam, kuna tetesi huku mitaani kwamba watanzania wengi wamechoshwa na utawala huu wa ccm ila hawana cha kufanya wala hawana pa kuongelea na kwamba wengi wanamlilia mungu awanusuru.

Inasemekana wengi wa watanzania hao wamekataa tamaa kwani maisha yamekuwa magumu kuliko wakati wowote wa awamu zilizopita hata awamu ya kwanza ya mwl nyerere.

Vp huko kwenu je tetesi hizi zinaakisi kiasi gani hali halisi ya maisha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…