Wewe mwenyewe unaishi kwa hofu,hata kama umo ndani ya kundi kwani kesho yako hui jui mkuu.Na wewe ndo wale mnaoishi kwa HOFU?
Pole sana, anza tu kufanya kazi halali utaishi bila hofu kama sie wengine.
Tumejaa unafiki kupitilzaaa,JK tulimdharau sana na matusi kibao, sasa kaja mzee wa kazi tunalialia tu. Acha tunyooshwe labda tutakuwa na akili timamu kwa kwel. TUKOSALAMA
Haya mkuuTHREAD YAKO NGUMU KUMEZA AISEE,
Ulichokiandika ndani hakiendani na UZI kabisaa, mimi nilijua matusi makubwa ndani yake kumbe busara tupu,
hahaaaa,
UKO SAHIHI MKUU ila sio balaa na sio laana bali NEEMA na MAFANIKIO ya tz
tusipanic kizembe hivyo, mambo mengine ya kiusalama watz, hatujui na haitakuja kutokea kujua hadharani masuala ya kiusalama.
Nhi hii ishatangaza vita ya kiuchumi duniani kote wanajua, DUNIA inatujaribu kuona tunasambaratika na mipango yetu madhubuti katika uwanja wa medani kiuchumi.
JPM tutaendelea kumkosoa sana juu ya hili kwani sidhani kama anapenda sana yeye yanayotokea.ila wakati mwingine anafumba macho yapite tu kunusuru harakati za kivita kiuchumi, na akiwa mlopokaji katika masuala haya ya kiusalama tutafail kabisa juu ya vita hii
MAADUI ni wengi sana na wengine wanatuchekea kinafiki sana, wanatumia kila mbinu kututawanya na kumuona kiongozi wetu aliyejitolea kivita akishindwa na ndipo kubaki ombaomba kimataifa na madeni makubwa
Si jambo zuri kuruhusu jirani kuja kukusaidia kutambua udhaifu wako katika familia kwani mwisho wa siku ndie atakae kuibia kirahisi kwa sababu ya kujua udhaifu wako. hivyo basi sipendekezi kuruhusu vyombo vya kiusalama kutoka nje kufanya mambo haya. tupambane wenyew tu.
Nchi hii ni salama ila si salama pia kutokana na uadui tulio nao kiuchumi ngazi ya kimataiasa.
GREAT THINKER WELCOME
Kwahiyo Dewji allikuwa anafanya kazi haramu?Na wewe ndo wale mnaoishi kwa HOFU?
Pole sana, anza tu kufanya kazi halali utaishi bila hofu kama sie wengine.
Yhe hopeless leaders came into power by joining forces with criminals, these crooks aren't care of others life till their throats will be slushed.Tunasikitishwa mno na Uongozi wa Rais Magufuli kwa kitendo chake cha kuiongoza Nchi kupitia Mkono wa Chuma (Umwagaji Damu). Kwa muda mfupi wa miaka mitatu ya Uongozi wa Rais huyu, tumeshuhudia wa- Tanzania wengi wakifariki kupitia Vifo vya kutatanisha na visivyo na maelezo yakutosha na wa Tanzania wengine wakitekwa, kuteswa na ama kuachiwa au kuuawa/ kupotea kabisa!
Mfano:- Mwaka 2016 alitekwa Ben Saanane. Hajaonekana. Mwaka 2017 alitekwa Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye hajaonekana vile vile, alitekwa Mwana Habari Azory Gwanda hajaonekana. Mwaka huu 2018 ametekwa Mohammed Dewji, yaani wiki hii, jambo la kushangaza Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinatuletea Hutuba ile ile tuliyokwisha izowea eti wako wanaendelea na kumtafuta na upelelezi unaendelea!
Tunaomba sana Rais na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ingawa hawapendi basi wajilazimishe kututambua kuwa sisi ni Wa-Tanzania wenzao, watuheshimu, watujali, watudhamini, Watulinde na wasitudharau kwani nasi ni Binadamu wenzao tena wenye Akili timamu ya kutosha inayotuwezesha kung'amua mambo kama wafanyavyo wao. Wa-Tanzania tuna weledi mkubwa wa kuchanganua yaliyo MEMA na MABAYA. Viongozi wasitulee Hutuba zilizo jaa Vitisho vyenye lengo la kutuziba Mdomo tusijadili na kuongelea kitendo hiki cha utekaji Wananchi kilichoshamili Nchi/miongoni mwetu, wasituletee hutuba zilizojaa Propaganda, Dharau na Dhihaka kwa Wananchi, wakumbuke kwamba, tunajua namna ya kuchanganua Kauli, vitendo, Sura nk. ya Kiongozi anayetuhutubia kisha tukafahamu wazi kama jambo analotueleza ama lina ukweli au laa!
Yapo mambo mengi yanayotuaminisha kuwa Rais Magufuli na Watu wake ndiyo wanaotekeleza Opereshen hii ya Utekaji, utesaji na Uuwaji wa Wananchi wasiyo na hatia ndani ya Nchi kwa sababu za KIUCHUMI na KISIASA. Mfano-
Eneo ambalo Mo Dewji alikotekwa ni lenye Ulinzi Mkali zaidi Nchini, lina umbali wa kilomita chache kutokea Ikulu, ni jirani na Makao Makuu ya Usalama wa Taifa - TISS, jirani na Makazi ya Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Zanzibar na Waziri Mkuu Mstaafu. Mtaa una CCTV za kutosha, lakini jambo la kushangaza, Vyombo vyetu vya usalama vinatulea maneno mepesi ya kutulaghai eti wanamtafuta MO kwa juhudi kubwa, nguvu na Akili zao zote, siyo kweli, hatuamini kabisa kwani Ufalme siku zote huwa haujipingi wenyewe! Ikiwa wameshindwa kumwokoa MO, huyu aliyetekwa maeneo salama ya Dar je, Mwananch ambaye anaweza kutekewa mkoani tena Wilaya ya mbali huko, wanaweza kumpata kwa muda gani, na ikiwa watampata atakuwa hai au ameshakufa!!?
Kuna utofauti Mkubwa kati ya kuwatafuta na kuwapata kwa WAKATI Watu waliopotea/waliotekwa hata kuwatia mbaloni Watekaji husika na kitendo kile cha kuwatafuta Watu hao kwa Muda mrefu usiyojulikana kikomo chake wala taarifa kutokutolewa kwa Wananchi. Mfano:- Mpaka sasa, hatuoni aliyekwisha tiwa mikononi mwa Police aliyempiga Risasi Mh. Lissu, aliyemtesa Dr. Olimboka, aliyempoteza Ben Saanane na wengine wengi!! Ni hutuba nyingi tu tunazopewa ambazo kimsingi ukizitafakari zaidi, utagundua Wana Usalama hawa, hawana nia ya kweli kulishughulikia jambo hili. Ni sababu zipi zinazowafanya wasilishughulikie jambo hili wakati tunajua kabisa pasipo mashaka, wana uwezo mkubwa wa kutokomeza vitendo vyote vyenye nia ya kuhatarisha Amani ya Nchi!?
Rais wetu Magufuli, tunamjua alivyo mwepesi kulisimamia/ kushughulikia jambo lolote linalogusa, kuwatesa na kuwahuzunisha Wananchi hususani maswala ya Kiuchumi, huwa hasiti kuwafukuza kazi Viongozi wazembe, ni mwepesi kuitisha Wanahabari Ikulu ili kuwahutubia Wananchi LIVE kuhusu maswala mbali mbali anayoyafanya kwa manufaa mapana ya maendeleo ya Wananchi lakini, pia kama kuna swala halimpendezi, huliongelea na kulichukulia hatua ya haraka zaidi. Je, kwa nini Rais haoni haja ya kutuhutubia juu ya Vitendo hivi haramu vinavyoshamiri Nchini vya Utekaji, Utesaji na uuwaji wa Wananchi wake!? Je, kwa nini haoni sababu ya kuwafukuza kazi Viongozi wakuu wenye dhamana ya kuilinda Amani ya Nchi hususani Wananchi na Mali zao!? Mbona Viongozi wa Wizara nyingine anaweza kuchukua hatua ya kuwatimua kazi kwa haraka lakini kwa hawa wa Vyombo vya Ulinzi vipi!?
Ukweli ni kwamba, kwa tofasili ya Viongozi wa Serikali, Nchi ina Amani tele lakini kwetu sisi WANANCHI WA TANZANIA, hatuioni hiyo Amani inayopigiwa chapuo! Kila kukicha Wa- Tanzania wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, mmoja mmoja anadondoka, haijulikani kesho ni yupi atafuatia!! Tukiwaomba Serikali watuletea VYOMBO VYA KIMATAIFA WAJE KUTUONDOLEA MZIZI WA FITINA KATIKA KUCHUNGUZA NINI CHANZO NA NI WAKINA NANI WAKO NYUMA YA MPANGO NA UOVU HUU, Serikali inakataa! Rais Magufuli tumweleweje!?
Kimsingi, Wanasiasa hawana Pesa ya kuanzisha Viwanda vikubwa vyenye uwezo wa kuwaajiri wa- Tanzania zaidi ya 100, hata wakivianzisha huajiri watu wa Familia zao na ndugu na majaa wa karibu nao! Sasa Matajiri wa Nchi hii wenye Viwanda vikubwa vya kuajiri wa Tanzania zaidi ya watu 200, ndiyo hao Wanatekwa, wanateswa na kuuwawa! Maana yake ni kwamba hao walio ajiriwa watakosa kazi, na njaa kali itaingia kwenye Familia zao! Uzalishaji na mzunguko wa Pesa Nchini utakwisha siyo muda mrefu, watanzania wataandamwa na njaa kali.
Jambo kubwa la kusikitisha, wakati Utekaji wa Matajiri ukiendelea na kusababisha ukata wa Ajira Nchini, Serikali ya Magufuli haina Mpango wowote wa kuajiri. Vijana wako mtaani wakizurula na ukata wao pamoja na kuwa na Elimu na ujuzi mkubwa wa Mambo!
Hakika CCM, Viongozi wastaafu hususani Marais, mmetuletea Nchini balaa na laana kubwa kwa kitendo chenu cha kumteua Dr. Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Nchi yetu Tanzania, Nchi iliyokuwa ya Amani, watu wake wakiwa na Furaha tele, sasa Furaha na Amani Mioyoni mwao imetoweka ghafla katika kipindi hiki kifupi cha Utawala huu, huzuni na hofu imetanda kila kona ya Nchi. Mungu atusaidie, atuepushe hali hii. Amen!!
Hata hivyo ubovu wa magufuli hauwezi kumdànya kikwete awe mbora. Jk alikuwa mtu wa hovyp, Jiwe ni wà hovyo kabisa.Tumejaa unafiki kupitilzaaa,JK tulimdharau sana na matusi kibao, sasa kaja mzee wa kazi tunalialia tu. Acha tunyooshwe labda tutakuwa na akili timamu kwa kwel. TUKOSALAMA
Kizungu gani hicho?...know that you are fool!
hausave nikauhamishia kwenye account matata sana, hata TCRA wakija kunikagua hawaupati mahali popote.huu uzi nimeutunza mahali kwa faida yangu kwani hapa hautadumu
hapa haudumuNimes
hausave nikauhamishia kwenye account matata sana, hata TCRA wakija kunikagua hawaupati mahali popote.
BASI KAONGOZE NA WEWE, tulio nje nje box (white house) mengi hatujui ila kukosoa tu ndo tunachokijua.Tunataka rais wa kazi lakini sio kazi za kuondoa utu wa binadamu mwenzake, kiongozi asiye na haya hata kidogo hafai kuongoza taifa lolote au sehemu yoyote....
Nimecheka sana ulivyo wanickname hawa wakubwa wa phase ya 3 na 4 respectively. Naomba unipe nickname ya namba 5 pia.Lawama ziende kwa penguin na hendisamu
Hata hivyo ubovu wa magufuli hauwezi kumdànya kikwete awe mbora. Jk alikuwa mtu wa hovyp, Jiwe ni wà hovyo kabisa.
Pole kwa povuNa wew ni wa hovyo kupindukia, sasa kama umeona ubovu wao kwanini unaendelea kutawaliwa na wa hovyoo,
JITATHIMINI kwanza mwenyewe uhovyo wako na umefanya nini katika taifa hili tofauti na walichokifanya wa hovyo,
Hahahaaaa, 2020 Natamani ni uone uhovyo wako wa kupindukia pia. tusilumbane paspo kujua aisee
Tunasikitishwa mno na Uongozi wa Rais Magufuli kwa kitendo chake cha kuiongoza Nchi kupitia Mkono wa Chuma (Umwagaji Damu). Kwa muda mfupi wa miaka mitatu ya Uongozi wa Rais huyu, tumeshuhudia wa- Tanzania wengi wakifariki kupitia Vifo vya kutatanisha na visivyo na maelezo yakutosha na wa Tanzania wengine wakitekwa, kuteswa na ama kuachiwa au kuuawa/ kupotea kabisa!
Mfano:- Mwaka 2016 alitekwa Ben Saanane. Hajaonekana. Mwaka 2017 alitekwa Mwenyekiti wa Halmashauri Kibondo Mr. Kanguye hajaonekana vile vile, alitekwa Mwana Habari Azory Gwanda hajaonekana. Mwaka huu 2018 ametekwa Mohammed Dewji, yaani wiki hii, jambo la kushangaza Vyombo vya Ulinzi na Usalama vinatuletea Hutuba ile ile tuliyokwisha izowea eti wako wanaendelea na kumtafuta na upelelezi unaendelea!
Tunaomba sana Rais na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Tanzania ingawa hawapendi basi wajilazimishe kututambua kuwa sisi ni Wa-Tanzania wenzao, watuheshimu, watujali, watudhamini, Watulinde na wasitudharau kwani nasi ni Binadamu wenzao tena wenye Akili timamu ya kutosha inayotuwezesha kung'amua mambo kama wafanyavyo wao. Wa-Tanzania tuna weledi mkubwa wa kuchanganua yaliyo MEMA na MABAYA. Viongozi wasitulee Hutuba zilizo jaa Vitisho vyenye lengo la kutuziba Mdomo tusijadili na kuongelea kitendo hiki cha utekaji Wananchi kilichoshamili Nchi/miongoni mwetu, wasituletee hutuba zilizojaa Propaganda, Dharau na Dhihaka kwa Wananchi, wakumbuke kwamba, tunajua namna ya kuchanganua Kauli, vitendo, Sura nk. ya Kiongozi anayetuhutubia kisha tukafahamu wazi kama jambo analotueleza ama lina ukweli au laa!
Yapo mambo mengi yanayotuaminisha kuwa Rais Magufuli na Watu wake ndiyo wanaotekeleza Opereshen hii ya Utekaji, utesaji na Uuwaji wa Wananchi wasiyo na hatia ndani ya Nchi kwa sababu za KIUCHUMI na KISIASA. Mfano-
Eneo ambalo Mo Dewji alikotekwa ni lenye Ulinzi Mkali zaidi Nchini, lina umbali wa kilomita chache kutokea Ikulu, ni jirani na Makao Makuu ya Usalama wa Taifa - TISS, jirani na Makazi ya Makamu wa Rais, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Zanzibar na Waziri Mkuu Mstaafu. Mtaa una CCTV za kutosha, lakini jambo la kushangaza, Vyombo vyetu vya usalama vinatulea maneno mepesi ya kutulaghai eti wanamtafuta MO kwa juhudi kubwa, nguvu na Akili zao zote, siyo kweli, hatuamini kabisa kwani Ufalme siku zote huwa haujipingi wenyewe! Ikiwa wameshindwa kumwokoa MO, huyu aliyetekwa maeneo salama ya Dar je, Mwananch ambaye anaweza kutekewa mkoani tena Wilaya ya mbali huko, wanaweza kumpata kwa muda gani, na ikiwa watampata atakuwa hai au ameshakufa!!?
Kuna utofauti Mkubwa kati ya kuwatafuta na kuwapata kwa WAKATI Watu waliopotea/waliotekwa hata kuwatia mbaloni Watekaji husika na kitendo kile cha kuwatafuta Watu hao kwa Muda mrefu usiyojulikana kikomo chake wala taarifa kutokutolewa kwa Wananchi. Mfano:- Mpaka sasa, hatuoni aliyekwisha tiwa mikononi mwa Police aliyempiga Risasi Mh. Lissu, aliyemtesa Dr. Olimboka, aliyempoteza Ben Saanane na wengine wengi!! Ni hutuba nyingi tu tunazopewa ambazo kimsingi ukizitafakari zaidi, utagundua Wana Usalama hawa, hawana nia ya kweli kulishughulikia jambo hili. Ni sababu zipi zinazowafanya wasilishughulikie jambo hili wakati tunajua kabisa pasipo mashaka, wana uwezo mkubwa wa kutokomeza vitendo vyote vyenye nia ya kuhatarisha Amani ya Nchi!?
Rais wetu Magufuli, tunamjua alivyo mwepesi kulisimamia/ kushughulikia jambo lolote linalogusa, kuwatesa na kuwahuzunisha Wananchi hususani maswala ya Kiuchumi, huwa hasiti kuwafukuza kazi Viongozi wazembe, ni mwepesi kuitisha Wanahabari Ikulu ili kuwahutubia Wananchi LIVE kuhusu maswala mbali mbali anayoyafanya kwa manufaa mapana ya maendeleo ya Wananchi lakini, pia kama kuna swala halimpendezi, huliongelea na kulichukulia hatua ya haraka zaidi. Je, kwa nini Rais haoni haja ya kutuhutubia juu ya Vitendo hivi haramu vinavyoshamiri Nchini vya Utekaji, Utesaji na uuwaji wa Wananchi wake!? Je, kwa nini haoni sababu ya kuwafukuza kazi Viongozi wakuu wenye dhamana ya kuilinda Amani ya Nchi hususani Wananchi na Mali zao!? Mbona Viongozi wa Wizara nyingine anaweza kuchukua hatua ya kuwatimua kazi kwa haraka lakini kwa hawa wa Vyombo vya Ulinzi vipi!?
Ukweli ni kwamba, kwa tofasili ya Viongozi wa Serikali, Nchi ina Amani tele lakini kwetu sisi WANANCHI WA TANZANIA, hatuioni hiyo Amani inayopigiwa chapuo! Kila kukicha Wa- Tanzania wanapotea katika mazingira ya kutatanisha, mmoja mmoja anadondoka, haijulikani kesho ni yupi atafuatia!! Tukiwaomba Serikali watuletea VYOMBO VYA KIMATAIFA WAJE KUTUONDOLEA MZIZI WA FITINA KATIKA KUCHUNGUZA NINI CHANZO NA NI WAKINA NANI WAKO NYUMA YA MPANGO NA UOVU HUU, Serikali inakataa! Rais Magufuli tumweleweje!?
Kimsingi, Wanasiasa hawana Pesa ya kuanzisha Viwanda vikubwa vyenye uwezo wa kuwaajiri wa- Tanzania zaidi ya 100, hata wakivianzisha huajiri watu wa Familia zao na ndugu na majaa wa karibu nao! Sasa Matajiri wa Nchi hii wenye Viwanda vikubwa vya kuajiri wa Tanzania zaidi ya watu 200, ndiyo hao Wanatekwa, wanateswa na kuuwawa! Maana yake ni kwamba hao walio ajiriwa watakosa kazi, na njaa kali itaingia kwenye Familia zao! Uzalishaji na mzunguko wa Pesa Nchini utakwisha siyo muda mrefu, watanzania wataandamwa na njaa kali.
Jambo kubwa la kusikitisha, wakati Utekaji wa Matajiri ukiendelea na kusababisha ukata wa Ajira Nchini, Serikali ya Magufuli haina Mpango wowote wa kuajiri. Vijana wako mtaani wakizurula na ukata wao pamoja na kuwa na Elimu na ujuzi mkubwa wa Mambo!
Hakika CCM, Viongozi wastaafu hususani Marais, mmetuletea Nchini balaa na laana kubwa kwa kitendo chenu cha kumteua Dr. Pombe Joseph Magufuli kuwa Rais wa Nchi yetu Tanzania, Nchi iliyokuwa ya Amani, watu wake wakiwa na Furaha tele, sasa Furaha na Amani Mioyoni mwao imetoweka ghafla katika kipindi hiki kifupi cha Utawala huu, huzuni na hofu imetanda kila kona ya Nchi. Mungu atusaidie, atuepushe hali hii. Amen!!
nimecheka sana !Navyowajua Mod huu uzi wataupeleka kwenye ule uzi wa ANAE JUA MAGUFULI UNATUPELEKA WAPI ANIAMBIE