Bakheresa wateja wake wakubwa ni wakulima wa kyela wanaoingia naye mikataba ya contract farming huchukua mazao yao yote Hao watakuwa wakulima wa Chadema wabishiKyela mavuno ya mpunga mwaka huu ni makubwa mno lakini hakuna wateja kabisa baada ya wateja wakubwa kufilisika
Fursa ziko kibao mgeni akija kesho katajirika mzawa mzito kutumia kichwa kufikiri anataka serikali imsaidie kufikiri!Mbona me naziona
Uongo utakusaidia nini wewe ?Bakheresa wateja wake wakubwa ni wakulima wa kyela wanaoingia naye mikataba ya contract farming huchukua mazao yao yote Hao watakuwa wakulima wa Chadema wabishi
Leo wananchi wa Tabora wakati wanaulizwa nani muongo kati ya Chadema na Magufuli, wakajibu kwa sauti kuu muongo wa kwanza ni Magufuli.Magu ameharibu nchi vibaya sana kiuchumi na kimaadili. Demokrasia imekufa, uhuru wa vyombo haupo na uwazi kwa serkali hii haupo, tuwe waangalifu.
Meister /Henessey /Moet [emoji23]Nenda Baa uone watu wanavyotandika pombe
Nenda Baa uone watu wanavyotandika pombe
Wewe mtoa rushwa na wewe unalaumu nini? Kama biashara ngumu pesa ya kutoa rushwa unaitoa wapi?
Kyela mavuno ya mpunga mwaka huu ni makubwa mno lakini hakuna wateja kabisa baada ya wateja wakubwa kufilisika
Hayo.madaraja yanapanda sh ngapi kwanza tuanzie hapo ili tune kama inawenza kusaidia?
Maana usije kuleta ushoga wako hapa wakati kiwanago kinachpannda hata hakiwezi kuongeza mzunguko,
Miaka ya nyuma mlikuwa mnaongezewa mbona bado mlilalamika?
Amefungwa vipi hiyo minyororo?Akupeleke kwani wewe umekuwa zombie? Raisi Magufuli hayuko hapa kukupeleka wewe popote pale, bali wewe ndiyo unatakiwa ujipeleke mahali kwingine, wewe ndiyo unatakiwa ujitoe hapo ulipo na kwenda sehemu nyingine, wewe ndiyo unatakiwa ujifungue minyonyoro uliyofungwa na fisadi Lowasa, Mbowe & Co. na kuwa mtu huru Raisi Magufuli hawezi kulifanya hilo na wala siyo kazi yake!