Baba Masagu
Senior Member
- Aug 30, 2020
- 128
- 41
Mzunguko utafute ulete wewe, sasa serikali inafanya biashara,
Au umesikia kuna watu wanadai mishahara hawajalipwa?
True brother
Unalazimisha kwa sababu unafaidika naye.Kuropoka nako fani. Ila utake usitake JPM is the best President
Sikiliza, wewe ndio umepotea. Umezoea maraisi waliokuwa wanashughulika na mambo madogo madogo. Huyu wa sasa anafanya vitu vikubwa. Mf umeme, miundombinu, Reli, bandari, ambapo maisha ya wa Tanzania yatakuwa juu sana miradi hiyo ikikamilika. Pia ameweza kudhibiti Wizi wa rasilimali za uma kama Madini na kukusanya kwa uhakika mapato ya ndani. Mambo haya sio wengi wanayaelewa. Wana macho lakini hawaoni.
Kwa huku anapotupeleka hapana kwa kweli...CCM mmepoteza vibaya...!Wabaona, wanasikia na wanajua ila wanafanya kusudi tu. Achana nao.
CCM oyeee
Mwanza hiyo siyo ?Kwa huku anapotupeleka hapana kwa kweli...CCM mmepoteza vibaya...!View attachment 1562646
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Uliona mbali sana mtoa mada, you are a really visionary, we are in a right way but in wrong direction.Mwanza hiyo siyo ?
Kwa huku anapotupeleka hapana kwa kweli...CCM mmepoteza vibaya...!View attachment 1562646
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Niseme wamepotezwa wale waliotumbuliwa kwa kukosa vyeti,kuuza cocaine, kupiga dili.wengine tuko imara. ng'ara Raisi wetu ng'ara. Amepoteza mpaka COVID 19. Tuko imara.Duh,muanzisha mada wewe uliona mbali na uliona mapema kwamba tumepotea
-mishahara nyongeza vipi huko?Niseme wamepotezwa wale waliotumbuliwa kwa kukosa vyeti,kuuza cocaine, kupiga dili.wengine tuko imara. ng'ara Raisi wetu ng'ara. Amepoteza mpaka COVID 19. Tuko imara.
Niseme wamepotezwa wale waliotumbuliwa kwa kukosa vyeti,kuuza cocaine, kupiga dili.wengine tuko imara. ng'ara Raisi wetu ng'ara. Amepoteza mpaka COVID 19. Tuko imara.