DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,353
Kutokana na muonekano wa mienendo ya raisi Magufuli toka aingie madarakani , mioyo ya baadhi yetu inasita kukubali kwamba hili haliwezi kutokea Tanzania.
Lakini leo nilivyoona wanajeshi wanapiga saluti chato huko kijijini kwake,tena airport aliyoijenga yeye kitu kama kimeclick.
Tujitayarishe kuingia kwenye wakati mgumu sana tangia Tanzania ipate uhuru.
Tunaingia kwenye uraisi wa maisha.
Sent from my SM-A505FN using JamiiForums mobile app
Nadhani umekosea kuniqoute mkuu. Comment nimeandika mimi mwenyewe.Watetezi wake mlivyowajinga mtatetea uhuni wake wa kubadili katiba.
CCM hamjawahi kuwa na uchungu na nchi zaidi ya majimbo yenu tu.
Nimemaanisha nilichokiandika.Nadhani umekosea kuniqoute mkuu. Comment nimeandika mimi mwenyewe.
Kwa lugha rahisi nipo mwenyewe hapa kwa keyboard.
Haya yote yanafanyika kwa sababu kuu moja tu ccm hawawezi tena kufanya siasa za hoja jukwaani kwa sababu sera zao siyo relevant tena kwa jamii.Nadhani umekosea kuniqoute mkuu. Comment nimeandika mimi mwenyewe.
Kwa lugha rahisi nipo mwenyewe hapa kwa keyboard.
Wewe hujui unachokiongea. Na hata auhitaji kueleweshwa, kwa sababu una u much know mwingiAtamaliza miaka yake mitano aondoke aje mwingine. Hatuhitaji nchi kufanywa ya familia kama baadhi ya nchi zilizotuzunguka.
Anafanya kazi nzuri saana ila hilo la kubaki milele asahau.
Nimemaanisha nilichokiandika.
Ili kuzuia hilo hakikisheni mnapigia kura wabunge wengi wa upinzani nje na hapo wale ccm wakienda bungeni kazi yao kubwa ni kupigia makofi serikali hata kwenye mambo yenye madhara kwa wananchi.
Hatuna namna nyingine ya kuzuia Magufuli asiongeze muda madarakani zaidi ya kumuondoa nafasi hiyo kupitia bunge.
Kule Zanzibar wanafanya kila linalowezekana ili apate 2/3 majority kwa upande wa Zanzibar ajipe urais wa maisha.
.......Wewe hujui unachokiongea. Na hata auhitaji kueleweshwa, kwa sababu una u much know mwingi
Majimbo au matumbo yao?Watetezi wake mlivyowajinga mtatetea uhuni wake wa kubadili katiba.
CCM hamjawahi kuwa na uchungu na nchi zaidi ya majimbo yenu tu.
MatumboMajimbo au matumbo yao?
Hizi smartphone wakati mwingine zinasumbua sana.Majimbo au matumbo yao?
Kama ni uongo waulize wakazi wa Nangurukuru-Kilwa, walijibiwa hadharani kuwa hawapati standi kwa kumchagua mbunge toka upinzani.Huu ni uongo mkubwa . Sisi wakazi wenyewe wa Morogoro hatuoni hilo. Barabara zinatengenezwa kwa usawa.
Zimechongwa Mji mzima bila kujali Diwani ni Chama gani.
Hata hivyo barabara hazitengenezwi na Halmashauri ambayo inaundwa na Madiwani Bali zinasimamiwa na TARURA , Chombo huru cha Serikali.
Wewe mchawiMbona me naziona