db wasapu na mitandao mingi tu tutapara habari tu.
swissme
HAHAHAHA YAANI NASIKIA RAHA SANA HUU MTITIUkweli kuwa serikali ya kijani imevurugwa na imevurugika,ukijaribu kupitia kwenye mitandao ya kijamii utagundua kuwa wengi wa watumiaji wa mitandao wanaipinga serikali hii kwa misimamo yake mbalimbali ikiwemo hili la kuzuia siasa na kufanya Rafu kwa vyama vingine,
ukweli usio na shaka Rais huyu wa sasa anauchukia sana upinzani licha ya kauli zake kwenye mikutano yake kuonyesha kuwa yeye hana ubaguzi,
nadhani wapinzani pekee anao wapenda ni aina kama ya Mrema na Shibuda wenye kumsifia tu,
kwa sababu ameona anapingwa kila kona hasa zaidi kwenye mitandao ya kijamii nina shaka kuna amri itatoka kuzima mitandao yote usiku wa kuamkia Sept 1 ,
naona kikwete na udhaifu wake aliipeleka nchi hatua 5 mbele kwa miezi 9 ya mtukufu tumerudi hatua 9 nyuma halafu wafuasi wa kijani na vibwebwe na madera yao wanajisifia
Kabisa Ndio sababu alikuwa akijiamini sana tuNINACHOAMINI ni kuwa JK aliingia ikulu kwa kura za wananchi
Pole sana. Tumia ubongo kufikiri na sio kuweka hisia zako. Na kingine, jitahd kufanya kazi, km huna kazi punguza muda wako kuingia mitandaoni kupost namna gani huelewi mambo na uelekeze ubongo wako katika kutumia fursa zilizo mikononi mwako na akilini mwako.AJIRA HAKUNA
DEMOKRASIA HAKUNA
MAISHA MAGUMU KWA WATANZANIA HAIJAWAHI TOKEA
NCHI KUKOSWA PESA
ELIMU KUKOSWA MWELEKEO
WANAFUNZI VYUO VIKUU WANATESEKA KUKOSWA PESA
WATUMISHI WA UMMA KULALAMIKIA STAHIKI ZAO ZA MSINGI
WAKULIMA KUNYANYASWA KWA KUKOSWA BEI STAHIKI YA MAZAO YAO
SERIKALI KUKOSWA KAULI IMARA NA ZENYE UKWELI WOWOTE MFANO .JAFO ALIAHIDI KUAJIRI WALIMU MPAKA SASA HIVI HANA MAJIBU SAHIHI
ccm utawajua tu maana huwa unreasonablePole sana. Tumia ubongo kufikiri na sio kuweka hisia zako. Na kingine, jitahd kufanya kazi, km huna kazi punguza muda wako kuingia mitandaoni kupost namna gani huelewi mambo na uelekeze ubongo wako katika kutumia fursa zilizo mikononi mwako na akilini mwako.