Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh basi tenaNimesoma St. Monica na amepakataa 🤣
Ilianza kama utani hii shule...!Nimesoma St. Monica na amepakataa 🤣
Umesima St monica nilikuwa na ❤ wangu huko kipindi hicho tukapotezanaNimesoma St. Monica na amepakataa 🤣
Plastic ni maeneo yapi Arusha?Nenda shule ya masista carmel ipo plastic
Utakuja kunishukuru
Hiyo naifahamu,nilitaka kujua nyingine.Nimesoma St. Monica na amepakataa [emoji1787]
Strictness yao ipo kwenye nini hasa ?Kuna shule inaitwa Little Sisters of St. Pio. Iko karibu na round about ya kwa Msola, upande wa kushoto kama unatoka mjini kwenda Njiro. Mtoto wa sista anakipiga hapo form two. Ila wako strict sana.
hii ni girls tupu aisee, niliitamaniKuna shule nzuri ya masister ukitoka tengeru mbele kidogo inaitwa Henry Gorgat ukiibahatisha mtoto atakuwa kwenye mikono salama kimaadili pia kimasomo.
Mkuu kama mtoto ni wakiume ukibahatisha tengeru boys wako vizurihii ni girls tupu aisee, niliitamani
Kabisaaa Mkuu nakuunga mkono ,mpeleke huko MkuuKuna shule nzuri ya masister ukitoka tengeru mbele kidogo inaitwa Henry Gorgat ukiibahatisha mtoto atakuwa kwenye mikono salama kimaadili pia kimasomo.