Yeah Hii ni ya ukweli sana ila tu ujue vizuri pronunciation za English words.Google docs inaweza kuandika kutumia Voice writing....
kwenye pcGoogle docs inaweza kuandika kutumia Voice writing.
Kama unatumia chrome, fungua google docs kisha chagua tools, utaona tool iliyoandikwa voice writing.
Ukiibonyeza itakuruhusu kuanza kuingiza sauti na kisha kubadilishwa kuwa maandishi.
Akikujibu Nitag mkuu...nielekeze mkuu
Ila jambo moja watu wanalobidi wajue ni kwamba hizi software haziko accurate sana kama binadamu ndiyo maana mpaka sasa kama kuna kazi yenye huhitaji mkubwa mtandaoni ni kazi ya kutranscribeSoftware unayoitaji wewe zinaitwa Transcribing software/app... USA zinatumika kwenye vyumba vya mahakama. Zenyewe mtu akiongea zinatype maneno. Zipo za Computer na simu google neno transcribing app. utazipata
Watanzania wavivu sana,HELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe ina type.
Shida nikuwa nimejaribu hii ya pc ilaimegoma na hapa nimejiunga GB za kutosha.
Asante.
Kwanini usitumie OCR software yoyote badala ya kuongea? Scan hayo makaratasi yatageuka kuwa maandishi, then wewe malizia kwa kufanya format za hapa na pale.HELLO
Habari wana jamvi mimi nimepata shida kidogo mahali nilikuwa nimepewa kazi moja ila kwa kweli ni kubwa mno.
Nina makaratasi hapa kama yote na yameandikwa kwa lugha ya kingereza sasa nilikuwa nataka software nzuri kwa ajili ya kunisaidi kurahisisha kazi, mimi niwe naongea tu yenyewe iwe ina type.
Shida nikuwa nimejaribu hii ya pc ilaimegoma na hapa nimejiunga GB za kutosha.
Asante.
wewe punguza ujinga ingekuwa hivyo mahakamani wasinge weka za ku type au bungeni... kazi ni kubwa na sio ndogo page zaidi ya 1500 na zina hitajika mapema. ndo maana ya tecWatanzania wavivu sana,
Acha hiyo kazi aje kufanya mwingine ambae hataona kazi kufanya kazi
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
eeeh hii ni funga kazi ni camera Bora na mwanga tuKwanini usitumie OCR software yoyote badala ya kuongea? Scan hayo makaratasi yatageuka kuwa maandishi, then wewe malizia kwa kufanya format za hapa na pale.