Anayejua wanapochora tattoo jijini Mwanza anisaidie

Anayejua wanapochora tattoo jijini Mwanza anisaidie

Joined
Jul 9, 2016
Posts
37
Reaction score
26
Habari za mihangaiko ya siku nzima wakuu Hoja yangu haina umuhimu Sana lakini nahitaji msaada.

Kwanza napenda kuwashukuru sana kwa kupoteza muda wenu na kuchangia mada yangu.

Leo ndio siku ya kwanza ya mimi kupost JF kuomba msaada mara nyingi imekuwa ikitokea mimi nikichangia but leo iko tofauti

Kwa yeyote yule alioko Mwanza na anajua sehemu wanapochora Tattoo ningelipenda anijuze.

Nataka kuchora tattoo ya Mwanangu.

Ahsanten.
 
Nakushauri nikiwa najua fika nachosema; tafadhali usifanye kuchora tatoo katika mwili wako hata kama ni ya mtoto wako au hata malaika, chochote kile. Kuna makubwa zaidi nyuma ya uchoraji wa tatoo hata kama wewe si mwamini, kuna repercusion (majuto) makubwa. Sikutukani lakini hadi hapa inaonesha wewe ni mtu aliye mbali na Mungu, hata kama unakwenda kwenye nyumba za ibada nina uhakika utaniambia kwamba umekuwa mtu wa kuishi maisha ya kutojali sana na "kujiachia" katika mambo mengi. You are an easy going person ready to sell yourself for worthless things, please know that it is sinful to tatoo your body. Mengine zaidi kuhusu tatoo tunaweza kuzungumza.
 
Umemaliza kila kitu mkuu....Bible & Quran imekataza kufanya vitu hv lkn hatuelewi.

Ni heri uwe mlevi (ingawa pia ni dhambi) unaweza kutubu kuliko kujichora tattoo
 
Asikutishe Mtu..kama unajisikia kuchora tattoo wewe chora tu. Do what you feel and like as long as you dont harm anybody. Hayo mambo sijui ya dhambi ni imani tu kwa wanaoamini hivyo. Tattoo ni urembo kama urembo mwingine tofauti yake ni kwamba tattoo ni urembo wa kudumu. Hivyo chagua mchoro ambao hautakuboa na kukuchosha. Fanya kitu roho inapenda. we only live once!
 
Back
Top Bottom