Nakushauri nikiwa najua fika nachosema; tafadhali usifanye kuchora tatoo katika mwili wako hata kama ni ya mtoto wako au hata malaika, chochote kile. Kuna makubwa zaidi nyuma ya uchoraji wa tatoo hata kama wewe si mwamini, kuna repercusion (majuto) makubwa. Sikutukani lakini hadi hapa inaonesha wewe ni mtu aliye mbali na Mungu, hata kama unakwenda kwenye nyumba za ibada nina uhakika utaniambia kwamba umekuwa mtu wa kuishi maisha ya kutojali sana na "kujiachia" katika mambo mengi. You are an easy going person ready to sell yourself for worthless things, please know that it is sinful to tatoo your body. Mengine zaidi kuhusu tatoo tunaweza kuzungumza.