Anayejua Zinakopatikana Chia Seeds Morogoro

MjasiriamaliElimu

Senior Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
116
Reaction score
69
Ningependa kujua kwa anayefahamu zinakopatikana mbegu za chia (Chia Seeds) kwa Mkoa wa Morogoro.Anijuze zinapatikana wapi, kwa gharama gani n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…