Anayekifahamu Chuo cha Sengerema Health Institute na Mvumi Health Institute.?

Anayekifahamu Chuo cha Sengerema Health Institute na Mvumi Health Institute.?

kante mp2025

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2022
Posts
631
Reaction score
1,192
Nimerudi tena jukwaani baada ya humu kumshauri mdogo wangu kusoma hii kozi ya diagnostic radiography sasa dogo langu kachaguliwa kwenye hizi institute mbili.

Kwa anayezifahamu au ambao wamewahi kusoma katika moja ya hizi institute , Ni college gani nzuri kati ya hizi mbili hasa kwenye suala la ufaulu na mazingira bora ya kujisomea?

Natanguliza Shukrani.
 
Hizo college zote ni za kanisa katoliki

Zote nazijua kimazingira lakin sikuwahi kusomeapo sengelema ni pazur sana kwa kuishi na ni patulivu sana, mvumi mission napo nipazur lakin hapawezi lingana na sengelema

College zote zina hospital kubwa kubwa sengelema mission hospital na mvumi mission hospital

Waliowahi pita hapo kimasoma ngoja waje
 
Hizo college zote ni za kanisa katoliki

Zote nazijua kimazingira lakin sikuwahi kusomeapo sengelema ni pazur sana kwa kuishi na ni patulivu sana, mvumi mission napo nipazur lakin hapawezi lingan...
Asante sana mkuu hata kwa muongozo huu

Ngoja waje pia comment zao zitanipa mwongozo wapi dogo akasome maana hata ada zao hazitofautiani sana
 
Hizo college zote ni za kanisa katoliki

Zote nazijua kimazingira lakin sikuwahi kusomeapo sengelema ni pazur sana kwa kuishi na ni patulivu sana, mvumi mission napo nipazur lakin hapawezi lingana na sengelema

College zote zina hospital kubwa kubwa sengelema mission hospital na mvumi mission hospital

Waliowahi pita hapo kimasoma ngoja waje
Vyuo vyote ni vya zamani sana vya mission, ni vizuri sana

Sengerema ni ya Katoliki ila Mvumi ni ya Anglikana na Machame ni
ya KKKT.

Kwa ujumla Sengerema wapo vizuri zaidi ilifuatiwa na Machame then
Mvumi. Ni vyuo vya zamani sana vimetoa product nzuri kabisa. Kuhusu
hiyo program sielewi kwa undani yupi ana mzidi mwenzake
 
Asante kwa muongozo ndugu yangu ubarikiwe
 
Back
Top Bottom