kante mp2025
JF-Expert Member
- Nov 11, 2022
- 631
- 1,192
Asante sana mkuu hata kwa muongozo huuHizo college zote ni za kanisa katoliki
Zote nazijua kimazingira lakin sikuwahi kusomeapo sengelema ni pazur sana kwa kuishi na ni patulivu sana, mvumi mission napo nipazur lakin hapawezi lingan...
Vyuo vyote ni vya zamani sana vya mission, ni vizuri sanaHizo college zote ni za kanisa katoliki
Zote nazijua kimazingira lakin sikuwahi kusomeapo sengelema ni pazur sana kwa kuishi na ni patulivu sana, mvumi mission napo nipazur lakin hapawezi lingana na sengelema
College zote zina hospital kubwa kubwa sengelema mission hospital na mvumi mission hospital
Waliowahi pita hapo kimasoma ngoja waje
Asante kwa muongozo ndugu yangu ubarikiweVyuo vyote ni vya zamani sana vya mission, ni vizuri sana
Sengerema ni ya Katoliki ila Mvumi ni ya Anglikana na Machame ni
ya KKKT.
Kwa ujumla Sengerema wapo vizuri zaidi ilifuatiwa na Machame then
Mvumi. Ni vyuo vya zamani sana vimetoa product nzuri kabisa. Kuhusu
hiyo program sielewi kwa undani yupi ana mzidi mwenzake
Amina kila jema kwakoAsante kwa muongozo ndugu yangu ubarikiwe