Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hili bila shaka lilikuwa fumbo kubwa sana , maana katika hali ya kawaida hakuna binadamu anayekula nyama za watu , na kwamba akinogewa ataendelea kuwatafuna tu binadamu wenzake hili si la kulichukulia poa , sasa katika hili Baba wa Taifa alilenga kutuma ujumbe gani kwa jamii ?