Anayelijua duka lolote la dawa asilia za Kihindi

daraja la kigamboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2016
Posts
3,127
Reaction score
3,062
Kwa anayejua duka dawa asilia za kihindi hapa nchini.kuna dawa inaitwa timemax naihitaji
Msaada tafadhali
 
Kwa anayejua duka dawa asilia za kihindi hapa nchini.kuna dawa inaitwa timemax naihitaji
Msaada tafadhali
Nahs upo Dar,nyie watu wa Dar mkiandika utakiri Jf wote ni wanaume na wanawake wa Dar !Hata sisi wa Murusagamba tumo! Mwaka juzi nilileta miwa Kariakoo ila bahayi mbaya madalali wakaniibi kuna duka niliona lipo mtaa waLuvingstone ,Kariakoo ,karibu na Nmb,kushoto kama unatokea Msimbazi St.
 
Nashukuru kwa ushirikiano. Hata hvyo sipo dar. Hiyo mitaa naifahamu nitaenda njcheki
 
Moshi mjini,pale karibia na nmb,mandela branch kama sikosei kuna duka hilo la dawa za kihindi linaitwa mombasa store nenda pale
 
Kwa anayejua duka dawa asilia za kihindi hapa nchini.kuna dawa inaitwa timemax naihitaji
Msaada tafadhali
upo wapi mkuu ili iwe rahisi kukuelekeza,yapo mengi tu hapa tanzania,taja location yako uelekezwe wapi uende..
 
Nakusalimia jirani, tutafutane hapa Nyabibuye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…