Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Kweli ndoa ni tiba, ndio maana inaitwa ni stara kwa mwanamke.Huyo CEO anatamani mume, mpeni mume atulie, hivi kweli angekuwa ana mume ameolewa angekuwa na muda wa kuandika vihoja mtandaoni...au MD kamtema?
SIMBA queens nao ni wanaume... hivi Simba waliokota wapi huyu? Klabu ya wanaume iongozwe na wanaume!
... alikuwa CEO wa Simba queens?SIMBA queens nao ni wanaume
Hv ww unafikiri barbra ana njaa kiasi hiko kurubuniwa kwa gari ?ana uwezo wa kununua gari yoyote anayoitaka kwa pesa yakeNi makamba hakuna siri, alimpa gari akamnyandua akamwacha, story kwisha.
ana uwezo wa kununua gari yoyote anayoitaka kwa pesa yake
Kumbuka Rais wa JMT ni mwanamke pia.... hivi Simba waliokota wapi huyu? Klabu ya wanaume iongozwe na wanaume!
Anampiga dongo mzaramo mwenzakeHuyu demu ana pigo za kizaramo sana
Hii imepenya