Kiongozi yyt wa Imani ya dini akijiingiza kwenye siasa ujue Kuna walakini
Huwezi kumtumikia Mungu na shetani kwa wakati mmoja,
ukimpenda Mungu huwezi kuvumilia maovu au kuwa sehemu ya serikali ovu isiyotenda haki na inayomwaga damu.
Kwanza kwa viongozi wa kiroho ambao ni watumishi wa kweli wa Mungu, hawawezi kuruhusu madhabahu ya Mungu kutumika kusafishia mikono ya wanasiasa iliyochafuka damu zisizo na hatia,unampa mwanasiasa muuaji,mtekaji,mkandamizaji wa haki,fisadi,anayeuza nchi yetu na kukopa mokopo mikubwa na kuifuja kwa siasa za maji taka na ufisadi halafu deni la taifa tunalipa sisi masikini na wazee wetu vijijini,halafu kabisa wewe kwa vile umepewa rushwa umevimbiwa tumbo lako na umekuwak chawa wa wanasiasa za maji taka,.
UNAMSIMAMISHA MADHABAHUNI NA UNAMPA MIC ATUMIE MADHABAHU YA MUNGU..kuongea AMANI YA NCHI...yani watu wakiuliza haki zao na wakihoji ufisadi..na matumizi mabaya ya rasilimali na mikopo na deni la taifa...WANAITWA WANAVURUGAJI WA AMANI..
Kwa hiyo MAFISADI na majizi ndiyo yanajiita MAZELENDO mengine hadi yanavaa bendera za taifa eti ndio mazelendo ya nchi.
Na mausalama ya Taifa na vyombo vya ulinzi eti ndiyo yanalinda amani ya nchi kwa kuyalinda mafisadi na kuumiza raia wema wanaokosoa MAOVU UHUJUMU NA UFISADI WA KUTISHA wa serikali..
..naona bora hata marehemu
MCHUNGAJI MTIKILA ALIKUWA timamu
KULIKO HAWA machawa akina MARASASU