Anayeombwa ushauri kaaminiwa.Lipi bora kati ya haya

Ulamaa Hemed

Senior Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
159
Reaction score
16
Mimi ni mtanzania niliosoma nchi za kiarabu nimechaguliwa ARABIC UDOM nafikiria kubadili au kuongeza kozi nikifika chuo, lipi bora kati ya haya? Kozi za arts
 
unataka kusoma kozi gani..?
maana kozi za arts ziko nyingi ..
 
Mimi ni mtanzania niliosoma nchi za kiarabu nimechaguliwa ARABIC UDOM nafikiria kubadili au kuongeza kozi nikifika chuo, lipi bora kati ya haya? Kozi za arts
ungesoma bcom science engeneering in arabic lingustic nasikia inatolwela street university ya erick shigongo
 
Back
Top Bottom