Anayepafahamu yanapopatikana mabelo ya viatu mtumba Mwanza

loupa

Senior Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
124
Reaction score
78
Jaman poleni kwa kazi.

Mimi ni kijana mwenye hamu ya kufanya biashara ya kuuza viatu minadani.

Changamoto niliyonayo ni kwamba sijui Bei ya mabelo ya viatu pia sifahamu yanapopatikana hasa kwa ukanda wa Mwanza.

Naomba kama unapafahamu inapopatikana hi i bidhaa nielekezwe. Pia mwenye mawasiliano na wauza mabelo pia

Ahsanteni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifanikiwa?
 
Back
Top Bottom