Jaman poleni kwa kazi.
Mimi ni kijana mwenye hamu ya kufanya biashara ya kuuza viatu minadani.
Changamoto niliyonayo ni kwamba sijui Bei ya mabelo ya viatu pia sifahamu yanapopatikana hasa kwa ukanda wa Mwanza.
Naomba kama unapafahamu inapopatikana hi i bidhaa nielekezwe. Pia mwenye mawasiliano na wauza mabelo pia
Ahsanteni!!
Sent using
Jamii Forums mobile app