TANZIA Anayesadikiwa kuwa MwanaJF afariki dunia

RIP Member.
Ulikuwa na mke katili.
 
Watu wanasahau kuwa mume ni kama mtoto,mtoto hajawahi acha kukosea....yaan mtoto wa mwenzio unamwacha alale nje wewe unakoroma ndani? ....sawa wanawake tuna roho mbaya lakini yatusaidia nn kufanya ivo kwa mtoto wa watu ambaye bado unaendelea kuishi nae....Mi binafsi MTU nikimshindwa tabia naachana nae,eti utaachana na wangapi? Wewe utaua watoto wa watu Mara ngapi?
 
Nimechukia sana kusoma kwamba mke alikataa kumfungulia mume.Alijua mumewe anatumia kilevi.Alishindwa kumchukulia alivyo?Ona sasa!
 
Funda mama tufundikee
 
Jaman shogare kama mwanaume ni kama mtoto mbona ww ulinyoosha mikono kipenzi? Sijaongea kwa ubaya mwaya. Ukweli kuna mazingira ambayo yanapelekea mambo kama hayo. Ungemsikiliza Mrs marehem ungeelewa sana
 
Alisemaje?Ni nini kilihalalisha kutomfungulia geti/mlango mwenza wake?
 
Jaman shogare kama mwanaume ni kama mtoto mbona ww ulinyoosha mikono kipenzi? Sijaongea kwa ubaya mwaya. Ukweli kuna mazingira ambayo yanapelekea mambo kama hayo. Ungemsikiliza Mrs marehem ungeelewa sana
Soma point yangu,mume akinishinda tabia naachana nae....NAACHANA NAE....kwann ung'ang'anie mpaka uue.Umeshindwa sepa.
 
Huyu Masanja alikuwa sijui kiongozi wa michezo. Ni kisa cha zamani.
alikuwa Meneja wa uwanja wa Taifa , jamaa alikuwa mzoefu wa ,kuruka ukuta hadi akajiwekea matofali ya kupanda kabisa namkumbua sana huyu braza tulikuwa tunalewa naye sana kimara alikuwa na gari yake Cruza 11 prado short chassis

Mlinzi wa Nyumba ya jirani Emmanuel Damas, akionesha eneo ambalo Charles Masanja alianguka wakati akijaribu kuruka ukuta wa Nyumbani kwake majira ya saa saba usiku wa kuamkia leo. Baada ya kuanguka, Masanja alifariki muda mfupi baadae wakati akipelekwa Hospitali.
 
Haitosaidia kitu, na mpaka mnafanyiana hayo makusudi ni mmechokana au??

Huyo mjane labda hakusikia simu?
huyo mwanamke hafai kabisa mke utalalaje kabla mume hajarudi nyumbani? Ni ukosefu wa adabu uliopitiliza familia ya marehemu inabidi impatie talaka baada ya msiba
 
Yani nyumba yako mwenyewe ukaruke ukutaaaa?? 😃😃😃
 
Hapo ungeshauri wanawake wenzio kuwa waache viburi visivyokuwa na maàna. Sasa aligoma kufungua alitaka akalale wapi wakati hapo ndipo nyumbani kwake!!!!
Halafu unauta nyumba ni yake kajenga mwenyewe , unauta mwaname ni golikipa tu hajui hata bei ya cement
wanawake wengine viburi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…