Anayeshika nafasi ya 2 bongo (Simba)anakiwasha kimataifa, Je, Yanga anayeongoza ligi atakuwaje?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Baada ya MNYAMA kuwanyuka Asec kwenye Confederation... Cup na kuonekana kuwa ana consistency nzuri kimataifa

Kuliko ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na fact kwamba ana kikosi kauka nikuvae. ..kumbe wabongo tulijidanganya ....mnyama yuko bora Sana

Nipo viunga vya jiji la NIAMEY ...kusini mwa mji wa AGADEZ nchini NIGER gumzo lililopo huku mtaani ni Kuhusu mechi ya Simba dhidi ya US Gendermarie ambapo gumzo ni kwamba SIMBA ipo nafasi ya pili kwa gape la point 5 lkin inakiwasha Sana ...... Je anayeshika nafasi ya Kwanza ......si ana weza hata kubeba club world cup?

Wanajiuliza ::Kama mshindi wa pili Simba ....yupo Moto hivi ....je Mshindi wa kwanza (YANGA). si ataweza kchukua hadi kombe la dunia la vilabu

Naombeni muwasaidie kuwathibitishia hili.........

Comment ziwe fupi fupi
FB_IMG_16265494178427426.jpg
 
Nyinyi jishaueni tu! Ila mpaka sasa Yanga ndiyo timu pekee kwenye ligi ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja! Na mpaka sasa inaongoza ligi.

Na haishangazi kuona baadhi ya timu zikishangilia mara baada tu ya kutoa sare!
 
Tatizo siyo kuwa unbeaten,suala hapa je ni ushindi halali?
Tumeona mzee wa michongo GSM akinunua wachezaji wawaumize wapinzani,kwa michezo hii michafu mtaendelea kujisifia kuongoza ligi kila mwaka huku wanaojua soka wanabeba vikombe na kushiriki mechi za kimataifa

Yanga ya msimu huu ina kikosi kizuri! Na binafsi nilisha watabiria kutwaa ubingwa tangu msimu unaanza. Wa kumzuia,hata simuoni. Simba ni tia maji tia maji.

Juzi mlimponda Bocco, Mugalu na Kagere, leo mtawasifia, na kesho tena wakivurunda mtawaponda. Hiyo ndiyo Thimba bhana.
 
Na bado Haina dalili za kupoteza mech
 
Tatizo siyo kuwa unbeaten,suala hapa je ni ushindi halali?
Tumeona mzee wa michongo GSM akinunua wachezaji wawaumize wapinzani,kwa michezo hii michafu mtaendelea kujisifia kuongoza ligi kila mwaka huku wanaojua soka wanabeba vikombe na kushiriki mechi za kimataifa
Mwamedi ananunua marefa......mbna huja consider hilo
 
Yanga ya msimu huu ina kikosi kizuri! Na binafsi nilisha watabiria kutwaa ubingwa tangu msimu unaanza. Wa kumzuia,hata simuoni. Simba ni tia maji tia maji.

Juzi mlimponda Bocco, Mugalu na Kagere, leo mtawasifia, na kesho tena wakivurunda mtawaponda. Hiyo ndiyo Thimba bhana.
Kagere .......35 umri

Mugalu 33

Onyango 46

Alafu makolo wanategemea kubeba ubingwa
 
Back
Top Bottom