Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Baada ya MNYAMA kuwanyuka Asec kwenye Confederation... Cup na kuonekana kuwa ana consistency nzuri kimataifa
Kuliko ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na fact kwamba ana kikosi kauka nikuvae. ..kumbe wabongo tulijidanganya ....mnyama yuko bora Sana
Nipo viunga vya jiji la NIAMEY ...kusini mwa mji wa AGADEZ nchini NIGER gumzo lililopo huku mtaani ni Kuhusu mechi ya Simba dhidi ya US Gendermarie ambapo gumzo ni kwamba SIMBA ipo nafasi ya pili kwa gape la point 5 lkin inakiwasha Sana ...... Je anayeshika nafasi ya Kwanza ......si ana weza hata kubeba club world cup?
Wanajiuliza ::Kama mshindi wa pili Simba ....yupo Moto hivi ....je Mshindi wa kwanza (YANGA). si ataweza kchukua hadi kombe la dunia la vilabu
Naombeni muwasaidie kuwathibitishia hili.........
Comment ziwe fupi fupi