Yule Onyango naamini 50 tayari.Kagere .......35 umri
Mugalu 33
Onyango 46
Alafu makolo wanategemea kubeba ubingwa
Viongozi wanawaweza sana yaani wanawajua nyinyi ni mashabiki oya oya na ndio maana vioņgozi waliiandaa zaidi timù na mechi ya tamasha la mwananchi day kuliko mechi ya klabu bingwa ingawa zote mlipigwa.Yanga ya msimu huu ina kikosi kizuri! Na binafsi nilisha watabiria kutwaa ubingwa tangu msimu unaanza. Wa kumzuia,hata simuoni. Simba ni tia maji tia maji.
Juzi mlimponda Bocco, Mugalu na Kagere, leo mtawasifia, na kesho tena wakivurunda mtawaponda. Hiyo ndiyo Thimba bhana.
Dah! Angalia Sana mkuu kwa hili andiko lako. Wajukuu wako wakilisoma watakudharau kuanzia unapolala hadi unapokunya. Mi nikafikiri ligi imeisha na utopolo kamaliza ligi bila kufungwa na kanyanyua kwapa. Kumbe ligi bado inaendelea !Nyinyi jishaueni tu! Ila mpaka sasa Yanga ndiyo timu pekee kwenye ligi ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja! Na mpaka sasa inaongoza ligi.
Na haishangazi kuona baadhi ya timu zikishangilia mara baada tu ya kutoa sare!
Mkuu ,Mwaka gani uto alishawahi kuwa kwenye ubora?[emoji23][emoji23][emoji23] kipind kile hakuwa kwny ubora mkuu
Hapana....mkuu....tulifanyiwa figisu....key prayers hawakuwa na kibaliViongozi wanawaweza sana yaani wanawajua nyinyi ni mashabiki oya oya na ndio maana vioņgozi waliiandaa zaidi timù na mechi ya tamasha la mwananchi day kuliko mechi ya klabu bingwa ingawa zote mlipigwa.
Msimu uliopita mlifungwa mechi moja tu, kilichofata unakijua mwenyewe.Nyinyi jishaueni tu! Ila mpaka sasa Yanga ndiyo timu pekee kwenye ligi ambayo haijapoteza hata mchezo mmoja! Na mpaka sasa inaongoza ligi.
Na haishangazi kuona baadhi ya timu zikishangilia mara baada tu ya kutoa sare!
Ndo nn hiki mkuuUnafikiri hata wao hawajui kwamba utopolo alikuwa kwenye mashindano haya na akashindiliwa na Rivers utd mwiko 1 nyumbani Halafu mwiko 1 ugenini? View attachment 2124887
Hahahahhaha Yanga aka UtopoloBaada ya MNYAMA kuwanyuka Asec kwenye Confederation... Cup na kuonekana kuwa ana consistency nzuri kimataifa
Kuliko ilivyokuwa imetabiriwa kutokana na fact kwamba ana kikosi kauka nikuvae. ..kumbe wabongo tulijidanganya ....mnyama yuko bora Sana
Nipo viunga vya jiji la NIAMEY ...kusini mwa mji wa AGADEZ nchini NIGER gumzo lililopo huku mtaani ni Kuhusu mechi ya Simba dhidi ya US Gendermarie ambapo gumzo ni kwamba SIMBA ipo nafasi ya pili kwa gape la point 5 lkin inakiwasha Sana ...... Je anayeshika nafasi ya Kwanza ......si ana weza hata kubeba club world cup?
Wanajiuliza ::Kama mshindi wa pili Simba ....yupo Moto hivi ....je Mshindi wa kwanza (YANGA). si ataweza kchukua hadi kombe la dunia la vilabu
Naombeni muwasaidie kuwathibitishia hili.........
Comment ziwe fupi fupiView attachment 2124691
Mkuu huoni kwamba huo ni mwiko aliosokomezwa utopolo na rivers utd akiwa hapa Tz kwa Mkapa?Ndo nn hiki mkuu
Hali yako?😁Makolo fc leo mnapigwa khamsa.