Anayesoma Pharmacy huwa anapata ajira moja kwa moja na serikali?

Anayesoma Pharmacy huwa anapata ajira moja kwa moja na serikali?

wynejosee

Senior Member
Joined
Jan 28, 2014
Posts
148
Reaction score
59
Mtu anayesoma pharmacy anapata ajira direct serikalini bila kuomba?
 
Piga msuli ufaulu upate leseni ya kufanyia kazi....leseni yako ni ajira tayari
 
Inategemea kama ana INTEREST na GOV'T au NGO'S n.k! Inshu ni kusoma sana! AJIRA ZINAKUJA AUTOMATIC.......!
 
Back
Top Bottom