Anayesomea kilimo

Anayesomea kilimo

Bengazuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2013
Posts
1,029
Reaction score
1,236
hivi mtu anayesomea kilimo ngazi ya stashahada huwa anaajiriwa na serikali au la?
 
hivi mtu anayesomea kilimo ngazi ya stashahada huwa anaajiriwa na serikali au la?

swali limekamilika mkuu ama? Chochote kinachosomewa serikali inaZo ajira, kwa hyo ww hata wizara ya kilimo chakula na ushirika huijui...
 
Back
Top Bottom