Anayestahili kuomba like ni mwenye Youtube channel, wengine kama hamna cha kuchangia mkae kimya. Acheni kujaza comments za kuomba likes

Anayestahili kuomba like ni mwenye Youtube channel, wengine kama hamna cha kuchangia mkae kimya. Acheni kujaza comments za kuomba likes

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Imekuwa too much sasa, video unaicheki youtube unaanza kusoma comments za mrejesho, ushauri, ukosoaji, nyongeza, n.k.

Ila unakutana na comments za kuomba likes.

Wanakera sana hawa watu

Uki comment cha maana utapewa like bila kuomba,
 
Sema sometimes huwa naihisi zile ni bots afu kwenye channeli za kibongo tu
 
Back
Top Bottom