Anayetafuta nyumba au shamba

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Habari! Kama unatafuta nyumba ya kupanga au kununua maeneo ya mikocheni, kijitonyama, makumbusho, mwananyamala mbezi, usisite tuwasiliane kwa namba
0716 85 06 95
Ili niweze kukuwezesha uweze kuziona ukiridhika ununue au upange
Nyumba ndo mpango mzima, anza mwaka mpya kwenye nyumba inayokuridhisha.
 
vipi kuhusu anayehitaji chumba kinondoni mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…