Anayetaka kuanzisha biashara ya Grocery soma hapa

Nyam

Senior Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
134
Reaction score
72
Habari zenu wapendwa,, mimi nilikuwa nafanya biashara ya Grocery hapa Dar es salaam maeneo ya Kinondoni ila kwa sasa nahamia mkoa mkoa, nauza vifaa vyangu vyote kama vilivyo kwa ujumla ikiwemo freezer,makret ya bia pamoja na bia zake, viti vya plastic vipo 12 pamoja na meza zake,wine, Heineken, Konyagi na vinywaji vinginevyo pamoja na spika za mziki 2...Kwa ujumla ntakuuzia kwa sh.1,500,000. Wewe itakulazimu kulipia fremu tu na kuanza biashara bila kuhangaika kununua vitu mahali pengine mana utapata kila kitu ukiwa na 1.5mil. Kwa mawasiliano zaidi nipigie namba 0776-880270. Nashukuru kwa kunielewa.
 
sawa nimekuelewa
unaenda mkoani kulima?
 
Ni kwa wenye Interest tu, wewe kama huna mpango basi pita tu kama walivyopita wenzio.
 

nashukuru naomba nijue upo upange gani wa kinondoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…