Anayetaka kumiliki private school

demaja

Member
Joined
Nov 17, 2022
Posts
10
Reaction score
16
Kuna shule moja inaitwa Olduvai sec IPO Moshi Kilimanjaro.

Majengo yake yako imara na Ina vyumba vyakutosha vya madarasa, maabara, dinning hall , mabweni, kiwanja Cha mpira , maji all the year , fensi na umeme wa 3 phase, shule Ilisimama 2017 kutokana na ukosefu wa wanafunzi na uchumi .

Hivyo tunatafuta mtu Yuko serious tukabithiane kisheria aendeleze gurudumu la elimu mwenyeshule unampa 40%wewe unakula 60% ya income na anakupa grace period ya 3 years without payment of rent kwa maelezo zaidi nicheki tuyajenge

0788962318
 
Elimu Bure, kusitishwa kwa ajira za ualimu na kudorora kwa uchumi; kumeziharibu kabisa shule binafsi za sekondari. Kama hiyo shule iko mazingira rafiki, ni bora mwekezaji akaibadilisha na kuwa English medium. Huku ndiyo kuna hela kwa sasa! Ila siyo sekondari.

Kwa sasa wenye jeuri ya kushindana na serikali kwenye shule za sekondari, ni taasisi tu chache za kidini na pia matajiri wachache. The rest, kama hawa akina Olduvai!! wanajifia tu kifo cha mende.
 
Mbaya zaidi alitakiwa aitangaze kwanzia mwezi wa 7 huko maandalizi yafanyike sasa kwa mda huu huwezi pata hata mzazi wa kumshawishi ujue
 
Or turn it into vocational college under NACTE .. Health and allied sciences college, offering certificate/diploma level in nursing, laboratory tech, pharmacy etc .. I see the mentioned infrastructure suits well with such courses.
 
Dah enzi hizo hiyo shule ilikua inaongoza kwa kua na wanafunzi wakorofi.moshi shule zenye fujo ilikua inaanza old moshi ,unafuata hiyo
Unaongelea miaka gani maana sijawahi kusikia old Moshi inaingia kwenye orodha ya Wakorofi.

Nakumbuka enzi zetu ukisikia 'Kill Boys" ndio ilikuwa balaa...zinazofuatiz ilikuwa Kolila n.k....hii Olduvai ndio naisikia leo mimi.
 
Umezaliwa mwaka gani?old moshi iyo shule ilikua na wababe Sana,wakienda shule yeyote kucheza mechi ,wakifugwa Ni fujo ya hatari ,kolila iko shambani uko fujo wamletee Nani,old moshi ipo mjini ,mpaka barabara inakua haipitiki
 
Or turn it into vocational college under NACTE .. Health and allied sciences college, offering certificate/diploma level in nursing, laboratory tech, pharmacy etc .. I see the mentioned infrastructure suits well with such courses.
Infrastructure
 
Dah enzi hizo hiyo shule ilikua inaongoza kwa kua na wanafunzi wakorofi.moshi shule zenye fujo ilikua inaanza old moshi ,unafuata hiyo
Acha kupotosha watu, Oldmoshi imekuwa one of the best School in Kilimanjaro
Miaka hiyo tukisikia Oldmoshi imepata ufaulu wa Div 1, 24 na Div II, 65 watu wanasikitika kuwa shule imefelisha .
Oldmoshi haijawahi kuwa na sifa mbaya kiasi hicho
Turudi kwenye Mada
Deal ni Zuri, ni kuhakikisha tu kuwa, mkataba umeandikwa vizuri ili Mtu asivunje/badilisha bila utaratibu....
 
Huyu sio kuwa anataka mtu amtengenezee jina la shule kwanza ikishakuwa ama kustawi anamsimamisha
 
Angefanya hata 20% kwa 80% pamoja na hiyo offer ya 3yrz! Kuna ishu ya OPERATION COST ambazo yeye zimemshinda, huyo mwingine ataziwezaje kwa ratio ya 40% kwa 60%!!?
 
Fujo haziusiani na ufaulu,Ni vitu viwili tofauti
 
Angefanya hata 20% kwa 80% pamoja na hiyo offer ya 3yrz! Kuna ishu ya OPERATION COST ambazo yeye zimemshinda, huyo mwingine ataziwezaje kwa ratio ya 40% kwa 60%!!?
Hapa sasa anaetaka ku get in ndo anabidi azingatie coz operation coz ziko juu sana kwa sasa
 
Angefanya hata 20% kwa 80% pamoja na hiyo offer ya 3yrz! Kuna ishu ya OPERATION COST ambazo yeye zimemshinda, huyo mwingine ataziwezaje kwa ratio ya 40% kwa 60%!!?
Point.
Asilimia 40 ni kubwa mno,ni bora mtu aende kununua au kukodi majengo sehemu nyingine asimamie mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…